Tutaipata wapi trilion 16.02?

Tutaipata wapi trilion 16.02?

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
457
Reaction score
773
Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 imekadiria kutumia Tsh Trilioni 56.49 ambapo trilioni 16.02 inatokana na mikopo ya masharti nafuu na misaada. Hela hii ni 28% ya bajeti ya serikali. Aidha kwenye makadirio ya makusanyo ya fedha za ndani kunaweza kutokea shida katika kupata kilichokadiriwa cha Tsh Trilioni 40.47. Hela hii ya mapato ya ndani inauwezekano wa kuathiriwa kutokana na kuathiriwa na uchumi kwa hali iliyopo sasa.

Kutokana na yaliyotokea, hata Rais Samia amekiri kuwa tunaweza pata shida ya kupata hizi hela za nje kwa wakati huu ambao baadhi ya nchi, taasis na asasi zimetia doa uchaguzi wa Tanzania. Sasa kama ikitokea watu wote wakakataa kutoa mikopo na misaada maana yake tuna haja ya kuitafuta zaidi ya trilioni 16.02.

Nasema ni zaidi ya trilioni 16 kwa sababu kuna wizara mpya ambayo haikuwa kwenye bajeti ya 2025/26, wizara mpya ya Vijana, ambayo ikiwa na ctivities bila bajeti inaleta maswali hela zinatoka wapi.

What do I say? Kuna shida ya uchumi kwa miaka kadhaa ijayo... umejipangaje?
1763544181020.png
 
Nina swali jingine hata kabla ya swali lako..., Hivi hio bajeti au serikali hii inatusaidia nini ?

Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 imekadiria kutumia Tsh Trilioni 56.49 ambapo trilioni 16.02 inatokana na mikopo ya masharti nafuu na misaada. Hela hii ni 28% ya bajeti ya serikali. Aidha kwenye makadirio ya makusanyo ya fedha za ndani kunaweza kutokea shida katika kupata kilichokadiriwa cha Tsh Trilioni 40.47. Hela hii ya mapato ya ndani inauwezekano wa kuathiriwa kutokana na kuathiriwa na uchumi kwa hali iliyopo sasa.

Kutokana na yaliyotokea, hata Rais Samia amekiri kuwa tunaweza pata shida ya kupata hizi hela za nje kwa wakati huu ambao baadhi ya nchi, taasis na asasi zimetia doa uchaguzi wa Tanzania. Sasa kama ikitokea watu wote wakakataa kutoa mikopo na misaada maana yake tuna haja ya kuitafuta zaidi ya trilioni 16.02.

Nasema ni zaidi ya trilioni 16 kwa sababu kuna wizara mpya ambayo haikuwa kwenye bajeti ya 2025/26, wizara mpya ya Vijana, ambayo ikiwa na ctivities bila bajeti inaleta maswali hela zinatoka wapi.

What do I say? Kuna shida ya uchumi kwa miaka kadhaa ijayo... umejipangaje?
View attachment 3504173
Hizo trilioni 16 wanazo wenyewe ,Kiziga na abdul wanaweza kutoa wao kama wao kwa wizi waliofanya wanazo hizo.
 
Wapunguze matumizi ya serikali,posho za wabunge zikatwe kwa 50% ili akili iwakae wasiwe wanakimbilia huko kwa ajili posho bwerere na pia mishahara yao ipunguzwe,kwani ubunge ni kazi ya kujitolea kama ilivyo mwenyekiti wa mtaa.
 
Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 imekadiria kutumia Tsh Trilioni 56.49 ambapo trilioni 16.02 inatokana na mikopo ya masharti nafuu na misaada. Hela hii ni 28% ya bajeti ya serikali. Aidha kwenye makadirio ya makusanyo ya fedha za ndani kunaweza kutokea shida katika kupata kilichokadiriwa cha Tsh Trilioni 40.47. Hela hii ya mapato ya ndani inauwezekano wa kuathiriwa kutokana na kuathiriwa na uchumi kwa hali iliyopo sasa.

Kutokana na yaliyotokea, hata Rais Samia amekiri kuwa tunaweza pata shida ya kupata hizi hela za nje kwa wakati huu ambao baadhi ya nchi, taasis na asasi zimetia doa uchaguzi wa Tanzania. Sasa kama ikitokea watu wote wakakataa kutoa mikopo na misaada maana yake tuna haja ya kuitafuta zaidi ya trilioni 16.02.

Nasema ni zaidi ya trilioni 16 kwa sababu kuna wizara mpya ambayo haikuwa kwenye bajeti ya 2025/26, wizara mpya ya Vijana, ambayo ikiwa na ctivities bila bajeti inaleta maswali hela zinatoka wapi.

What do I say? Kuna shida ya uchumi kwa miaka kadhaa ijayo... umejipangaje?
View attachment 3504173
Watanzania tukatoe hela bank hii serikali ife kifo cha mende, leo nitajaribu kuelezea hili
 
Wapunguze matumizi ya serikali,posho za wabunge zikatwe kwa 50% ili akili iwakae wasiwe wanakimbilia huko kwa ajili posho bwerere na pia mishahara yao ipunguzwe,kwani ubunge ni kazi ya kujitolea kama ilivyo mwenyekiti wa mtaa.
Wao wakiishiwa wanakimbilia kuwabambikizia MATOZO wananchi badala ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ,mtu unamlipa milioni 18 halafu hapo hapo unampa gari la milioni 500 ,wakati mwalimu anayelipwa laki 8 kwa mwezi anapambana kwa twisheni na kukopa anamiliki hadi IST ,inakuwaje mtu anyelipwa milioni 18 anashindwa kujinunulia Pajero au Kluger ya milioni 25?
 
Tukisema tuwatoe Hawa madhalimu
Kama machawa wanatetea kisa kapewa baiskeli
 
Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 imekadiria kutumia Tsh Trilioni 56.49 ambapo trilioni 16.02 inatokana na mikopo ya masharti nafuu na misaada. Hela hii ni 28% ya bajeti ya serikali. Aidha kwenye makadirio ya makusanyo ya fedha za ndani kunaweza kutokea shida katika kupata kilichokadiriwa cha Tsh Trilioni 40.47. Hela hii ya mapato ya ndani inauwezekano wa kuathiriwa kutokana na kuathiriwa na uchumi kwa hali iliyopo sasa.

Kutokana na yaliyotokea, hata Rais Samia amekiri kuwa tunaweza pata shida ya kupata hizi hela za nje kwa wakati huu ambao baadhi ya nchi, taasis na asasi zimetia doa uchaguzi wa Tanzania. Sasa kama ikitokea watu wote wakakataa kutoa mikopo na misaada maana yake tuna haja ya kuitafuta zaidi ya trilioni 16.02.

Nasema ni zaidi ya trilioni 16 kwa sababu kuna wizara mpya ambayo haikuwa kwenye bajeti ya 2025/26, wizara mpya ya Vijana, ambayo ikiwa na ctivities bila bajeti inaleta maswali hela zinatoka wapi.

What do I say? Kuna shida ya uchumi kwa miaka kadhaa ijayo... umejipangaje?
View attachment 3504173
Its getting hot aisee...
Means, chini ya utawala huu ili ku raise hiyo 16trillion inabidi wazikabie hapa hapa ndani!

Madhara yake yatakuwa makubwa zaidi na kusababisha kelele zaidi na zaidi, means rasmi daraja la kati na la wastani wanaenda kuguswa moja kwa moja katika harakati hizo za kuraise the said figure!

Mbeleni kuna mengi sana yanaonekana dhahiri sio mazuri na salama kwa taifa,kuna haja ya kutumia hekima ya hali ya juu na uzalendo usiomithilika kudeal na hii fragile situation.

Watawala, Mungu awape hekima katika hii situation, kujishusha sio udhaifu, ni ujasiri,uzalendo na hekima ya hali ya juu, MUNGU AWASAIDIE!
 
Na shida wanaongelea matokeo lakini mpaka sasa hawajafanya chochote kutibu chanzo.Hii viongozi wetu nani kawaroga???
 
Pesa wanazojilimikisha zipo kwenye bajeti ipi?
 
Back
Top Bottom