Twalb zubeir
Senior Member
- Feb 23, 2015
- 143
- 51
Habarini wadau wa Newala na Tz kwa ujumla .
Haji Musa Mnasi ni miongoni mwa vijana ambapo Zao la wanakusini wa Mkoa wa Mtwara jimbo la Newala ambaye ni Kamanda wa vijana wilaya pia ni Afisa elimu wilaya ya ludewa .
Kijana huyu tutamshawishi mwezi ujao atangaze nia na kuwania kinyang'anyiro cha ubunge kwa sababu zifuatazo
1.uzalendo wake
2.utumishi uliotukuka
3.Mwajibikaji
4.Anasikiliza wadogo na wakubwa
5.Anajua matatizo na kero za wananewala.
6.Mtu wa watu na chaguo letu.
Kwa hali ya jimbo letu LA Newala kwa sasa halizuiliki kumpatia kijana wetu maana Mzee mkuchika ameshindwa kukidhi matarajio yetu mfano
Maji safi na salama
Miundombinu
Huduma za afya
Kupambana na umaskini uluokithili yaani mkuchika ameshindwa haya mambo hivyo tunamuhitaji Mnasi ili
Tupate fursa za kimaendeleo
Elimu bora
Huduma bora za kijamii
Tunakuomba na tutasimama na wewe ndg Mnasi katika ujenzi wa Newala mpya.
Ahsante
Zuberi Athumani
Mbobezi huru