Tutafika tu

Tutafika tu

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,495
Reaction score
35,288
zinavutana pia!
 
Attachments

  • 1432876084474.jpg
    1432876084474.jpg
    4.7 KB · Views: 1,075
Hilo gari.
Ndege inatumia forces ili kuwa angani. Lift forces, thrust etc kama ndege engine zikizima basi haiwezi vutwa zaidi itashuka chini na Breaking news itasema....... wamekufa au imepotea kwenye radar
 
Hivi hiyo ndege inayovutwa itakapoanza kurudi chini kwa maana ya kuanguaka, itakuaje? je ndege hiyo nzima nayo itarudi chini? au haitarudi kutokana na force inayoifanya iwe juu?? na je hii nyingine mbovu itaanguka? au itabaki inaning'inia tu kwa hiyo kamba? au kamba itakatika na ndege mbovu itaanguka? - nadhani nimeeleweka swali, wana sayansi plz
 
"hiyo haipo hivyo"...in Kibonde's voice!!
 
Hapa swali ni nani aliyeifunga kamba!!!!???.
Au imeanza kuvutwa tokea chini.
 
Hivi hiyo ndege inayovutwa itakapoanza kurudi chini kwa maana ya kuanguaka, itakuaje? je ndege hiyo nzima nayo itarudi chini? au haitarudi kutokana na force inayoifanya iwe juu?? na je hii nyingine mbovu itaanguka? au itabaki inaning'inia tu kwa hiyo kamba? au kamba itakatika na ndege mbovu itaanguka? - nadhani nimeeleweka swali, wana sayansi plz

hiyo nahisi imekufa injini moja. hapo inavutwa ili ipate balance. kamba ikikatika bado itakuwa inaelea
 
zinavutana pia!

siku nyingine usiniaibishe bhana,yani kuomba tu msaada wa kuvuta kile airplane changu ndo umenipiga picha ukaja kuipost huku.
Kale kasheria katafata mkondo wake ohooo
 
siku nyingine usiniaibishe bhana,yani kuomba tu msaada wa kuvuta kile airplane changu ndo umenipiga picha ukaja kuipost huku.
Kale kasheria katafata mkondo wake ohooo

mkuu sitarudia tena
 
Back
Top Bottom