M mamkey Member Apr 5, 2012 25 5 Jul 15, 2012 #1 Kila nkipeleka nyaraka zangu wakubwa wanapotezea tatizo langu badala yeke wanarise interest kwangu na kunisumbua bila mafanikio jamani hivi mpaka lini wakat wao ndio wameshikilia makali ????Jamani Tanzania nchi yangu.
Kila nkipeleka nyaraka zangu wakubwa wanapotezea tatizo langu badala yeke wanarise interest kwangu na kunisumbua bila mafanikio jamani hivi mpaka lini wakat wao ndio wameshikilia makali ????Jamani Tanzania nchi yangu.
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Jul 15, 2012 #2 ongea nao vizuri, au wanataka RASILIMWILI!?
M mamkey Member Apr 5, 2012 25 5 Jul 15, 2012 Thread starter #4 hayaka said: du kaoge na magadi. Hiyo ni nuksi. Click to expand... Asant ndugu ila cn imani hiyo.gud9t
hayaka said: du kaoge na magadi. Hiyo ni nuksi. Click to expand... Asant ndugu ila cn imani hiyo.gud9t
Mzalendo JR JF-Expert Member Jun 6, 2012 1,193 515 Jul 16, 2012 #6 U seem to be beautiful huh! Pray to God.....
Kilahunja JF-Expert Member Dec 19, 2011 1,502 341 Jul 16, 2012 #7 mamkey said: Asant ndugu ila cn imani hiyo.gud9t Click to expand... sweet dream mamushka..
Kilahunja JF-Expert Member Dec 19, 2011 1,502 341 Jul 16, 2012 #8 Mzalendo JR said: U seem to be beautiful huh! Pray to God..... Click to expand... loh, wanaume wanamaana, hata uwe na sura kama nguruwe, ndo kwanza atapiga bismilah.
Mzalendo JR said: U seem to be beautiful huh! Pray to God..... Click to expand... loh, wanaume wanamaana, hata uwe na sura kama nguruwe, ndo kwanza atapiga bismilah.
M MR.LEO Senior Member Jun 10, 2012 129 24 Jul 16, 2012 #10 Tanzania sio nchi yako ni nchi ya wenye meno. "YOU HAVE TO GIVE WHAT YOU HAVE IN ORDER TO GET WHAT YOU WANT"
Tanzania sio nchi yako ni nchi ya wenye meno. "YOU HAVE TO GIVE WHAT YOU HAVE IN ORDER TO GET WHAT YOU WANT"