Hiyo ni kauli ya mwanasiasa na imetolewa kisiasa sasa wewe unataka nini? Unafikri kama kamanda Mkumbo angetenda haki Lowassa angepoteza muda wote huo hapo Mwanza?
Job K;
Nashukuru umeielewa kauli ya Mbowe. Pia, mahakamani hakuna jinsi ya kumburuza huyo Kamanda wa ccm ila njia ni kihivyo tu.
Aeleze huyo aliyemtuma kuusumbua mwili wa marehemu na kuuunganisha na kipindupindu.