Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,758
- 61,394
Kutokana na majukumu yaliyowazidi binadamu....kila ninayekutana naye njiani anakuwa na sura ngumu(kuelemewa na majukumu),hawana tena tabasamu.Jamani tujitahidi kutabasamu tunapokuwa njiani/barabarani hata kama unachangamoto ngumu za kimaisha...