Hahahah halafu mtani kwani hujasikia kuna muheshimiwa mmoja huko Kenya kamuamkia shikamoo Mh. Rutto, yote ni kuchachwa tu...wapekuzi kuja kupekuwa wamegundua huyo mwanamama ni mkubwa kwa mwaka mmoja kumzidi Rutto.
Hii picha inazungumza yote, hebu mwangalie kulia Mkurugenzi Idara Habari Maelezo Assah Mwambene na kushoto Afisa mawasiliano wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa unyenyekevu uliotukuka wakiwa wamejikunyata kama kuku aliyetoteshwa na mvua za vuli. Hapo walikuwa wakitoa zawadi ya shati kwa huyo mzungu Bw. David Wiggins.
Sasa zawadi watoe wao na bado wanakosa kujiamini...khaaa!!!

Kwa kuwa zawadi ni ukarimu mkuu si ajabu haina bajeti...
mtani mi nakuaminiaga kwa mapicha ya kipekuzi
hebu patia mimi picha ya madam president akiwa anampokea laura bush huku anapiga magoti!
mi huwa nachokaga mimi!
Hii picha inazungumza yote, hebu mwangalie kulia Mkurugenzi Idara Habari Maelezo Assah Mwambene na kushoto Afisa mawasiliano wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa unyenyekevu uliotukuka wakiwa wamejikunyata kama kuku aliyetoteshwa na mvua za vuli. Hapo walikuwa wakitoa zawadi ya shati kwa huyo mzungu Bw. David Wiggins.
Sasa zawadi watoe wao na bado wanakosa kujiamini...khaaa!!!

Hii picha inazungumza yote, hebu mwangalie kulia Mkurugenzi Idara Habari Maelezo Assah Mwambene na kushoto Afisa mawasiliano wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa unyenyekevu uliotukuka wakiwa wamejikunyata kama kuku aliyetoteshwa na mvua za vuli. Hapo walikuwa wakitoa zawadi ya shati kwa huyo mzungu Bw. David Wiggins.

Sasa zawadi watoe wao na bado wanakosa kujiamini...khaaa!!!

Nimejitahidi kufanya upekenyuzi na ufukunyuku, nimeishia kupata hili photo hapa...hilo lako bado scanner inapekenyua...

ona huyu dume linavovunja vunja vidole!
Aaaaaaaaaaaarrrrrrgh!
Hii picha inazungumza yote, hebu mwangalie kulia Mkurugenzi Idara Habari Maelezo Assah Mwambene na kushoto Afisa mawasiliano wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa unyenyekevu uliotukuka wakiwa wamejikunyata kama kuku aliyetoteshwa na mvua za vuli. Hapo walikuwa wakitoa zawadi ya shati kwa huyo mzungu Bw. David Wiggins.
Sasa zawadi watoe wao na bado wanakosa kujiamini...khaaa!!!

Jamaani eee, duniyani watu kupeana (zawadi) Give and Take !!
Hivyo hataukipita shambani huambulia tunda au kiazi!!
Na hao wazungu nao huletaga kipya kinyemi !! je tumesahau?