UKI
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 691
- 173
jamani nini hicho mungu wangu, unajua nilishafanya kazi na mzungu tena kazi ya ngazi ya chini kweli na yeye ni manager nilikuwa na ule uoga wa kibongo bongo kuwa boss ni boss sasa kila kitu nilikuwa naanza na neno boss, alinirudia akaniambia jina langu sio boss jina langu ni fulani usiinite boss kabisa nilishangaa sana, ila nikajua nini maana yake mkiwa mnaitana majina halisi mnaondoa barrier of communication mnakuwa free kwa kila mmoja, sasa sisi watanzania hata manager wa bar tunamuita manager basi ndio bichwa linapanda hilooo,