KING 360
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,002
- 5,201
Wakuu
Salamu kwenu
Natoa ushauli kwa selikaki kuhusu hii balabala ya Nyerere ususani eneo hili la nata kwa wale wenyeji wa Mwanza wanapafahamu ni karibu na Mwanza sec school hili eneo ni hatari sana kwa wavukaji wa balabala tulishapoteza ndugu zetu eneo hili kwa kugogwa na magari ni eneo ambalo linahitaji zebra niwaombe wahusika waweke alama ya zebra ama tuta maana ni sehem inayopitisha magari mengi chakusikitisha wameweka uku juu shule ya msingi Bugando wakashindwa kuweka apo nata ambapo ni sehemu hatari hivi wahusika mnafanya mzaa na maisha ya watu
Nawasilisha