tanzanite miner
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 257
- 172
Kwa kinachoendelea Zanzibar kweli huo uchaguzi utakua huru na haki?
Kipigo na vitisho vinavyoendelea kwa kweli sio vizuri kabisa unafanya uchaguzi wakati vifaru na askaria wakiwa wemevalia kivita nani ataenda kupiga kura kwa staili hiyo alafu utaona pongezi kwa raisi alieshinda huyo atakua ameshindana na nani?
Hapo ndipo pale watu wanaposema bora Donald trump aje na ajenda yake ya kufanya mabadiliko Africa.
Democracy bado sana kwa nchi za Afrika. Poleni wazanzibar.