TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
- Thread starter
- #21
50 years is more than enough, waachie ngazi wengine wasongeshe
The world surely needs dreamers.
50 years is more than enough, waachie ngazi wengine wasongeshe
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015
"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka 2005. Wakati huo huo wanafunzi wa shule za sekondari wameongezeka zaidi ya maradufu kutoka wanafunzi 190,000 mwaka 1995 hadi wanafunzi 520,000 mwaka wa 2005."
"CCM inapenda kutamka bayana majukumu mawili ya msingi. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemea[/FONT][/FONT]. jukumu hilo ni letu Watanzania[FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]. [/FONT][/FONT]Wahisani wanatuunga mkono tu. [FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma][FONT=AHIFDO+Tahoma,Bold,Tahoma]Jukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
[/FONT][/FONT]
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
Calculator yangu imekataa. hebu nisaidie kupata ratio ya 520,000 kwa 7,500,000 halafu unimbie ni asilimia ngapi wanenda secondary!!!!!!!!!!!????????????????
Kwa mfumo wa dunia ulivyo sasa suala la elimu si la kusubiri kuhubiriwa ilani ya chama fukani tena. Hata wakasema mkisema mnabadilisha hiyo ilani yenu na kuifanya yenye kuhubiri watu wasisome, hakuna atakaye wasikiliza. Kila mtu na kila mzazi anajua bila 'shule' huko mbele hakieleweki. Kwa hiyo hiyo habari ya ilani ya CCM ni sawa na hadithi za mapokeo tu.
kweli kabisa mkuu acidvery good indeed... ndio maana tunaelekea kuigeuza kigoma dubai na daraja la dhahabu kigamboni... watanzania kwa document ni balaa, kwa action ni mawaaaa tupu
i wont trust anything written for action especially being written by a tannzanian
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015
Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la uchumi ulio nyuma na tegemezi na kuiingiza katika mkondo wa uchumi wa kisasa wa taifa linalojitegemeaJukumu la pili ni kuwashirikisha wananchi wote kwa njia ya uwezeshaji katika ujenzi wa uchumi na kuutokomeza umasikini."
Chanzo: Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010 - 2015
Just imagine, Rais WILBROD SLAA under the remote control ya FREEMAN AIKAELI MBOWE. nchi yote itakuwa sokoni. ni full mauzo. WILBROD SLAA anaweza akawa mtu safi lakini je MBOWE?????? na mbaya zaidi ni kwamba SLAA kwa MBOWE ni kama MBWA kwa CHATU. sijawahi kuona kiongozi kibaraka kama alivyo SLAA KWA MBOWE.Watawezaje kulifanya taifa letu kuwa la kujitegemea wakati wanakumbatia mafisadi. That is impossible!!! Kwa nini watanzania mnadanganyika kirahisi hivyo?
wat about 2005 to 2010!??
coz I think hiyo ilikuwa awamu ya Mkapa!!!!!!
KIKWETE..wat did you do!??