Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,158
Happy Karume Day waungwana,Kama mdau wa Tusker Lager nimesikitishwa kukosekana kwa kinywaji hiki murua katika Bar na Grocery maeneo mengi ya jijini Dar,kuanzia mwishoni wa mwezi wa tatu na sasa hali imekuwa ngumu kweli kwani mpaka uende Bar au Grocery za vichochoroni au zile zilizokuwa na stock ya zamani ndio upate kinywaji hiki murua.Kama kuna mdau wa TBL humu katika jukwaa la JF atupe mwanga kidogo...Maana karibu wengine tutapoteza Identity yetu.