Tusker Lager Kushnehi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusker Lager Kushnehi!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tusker Bariiiidi, Apr 7, 2009.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Happy Karume Day waungwana,Kama mdau wa Tusker Lager nimesikitishwa kukosekana kwa kinywaji hiki murua katika Bar na Grocery maeneo mengi ya jijini Dar,kuanzia mwishoni wa mwezi wa tatu na sasa hali imekuwa ngumu kweli kwani mpaka uende Bar au Grocery za vichochoroni au zile zilizokuwa na stock ya zamani ndio upate kinywaji hiki murua.Kama kuna mdau wa TBL humu katika jukwaa la JF atupe mwanga kidogo...Maana karibu wengine tutapoteza Identity yetu.
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu,

  Yaani ni uonevu mtupu!

  Sijui yaani nijaribu Safari!!!!!

  Wasipoirudisha haraka mimi ntahamia zangu Nairobi!
   
 3. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ..........hahaha poleni sana wakulu, juzi nilienda pupu moja ya waafrica (Victoria Pub) hapa UK nikashangaa kuwakuta wakenya wanapata TUSKER. ikabidi niulize walisafiri au? ndipo wakaniambia hii bidhaa ipo siku zote hapa. Inawezekana soko limehamia UK wakuu poleni sana.
   
Loading...