Tusiyoyajua kikao kati ya madiwani waasi wa chadema na kamati ya marando.....

Kumbe mtangazaji aloitoa anaitwa david rwenyengera,huyu tunamjua cku nyingi.ni ant_cdm na anatumika sana na chatanda.juzi nlimuona na aliyekua diwani ras wa kaloleni
 
Kumbe mtangazaji aloitoa anaitwa david rwenyengera,huyu tunamjua cku nyingi.ni ant_cdm na anatumika sana na chatanda.juzi nlimuona na aliyekua diwani ras wa kaloleni

Sasa hapo naanza kuelewa,maana alikuwa analishikia bango sana hili tukio,na amelirudia kama mara tatu hivi,akidai kuwa kuna watu wanampigia simu kuwa hawajasikia vyema...Na juzi alikuwa akiongelea suala ya Dr Mwakyembe akawa anaongea kama vile anadharau madai ya Dr na kumkejeli vile..kwa kusema inawezekana waliomlisha sumu ni ndugu wa karibu wa Dr....
 
Huyo mtu anatabia za ki'Nigeria kweli..
 
Afu mleta mada anatumiwa na hao wazandiki
mleta Mada mm namtetea kwani nimesikia ktk Radio 5 arusha leo asubuhi ni kweli kuna matatizo hasa hapo arusha na arumeru km radio ilivyotamka, kuna makundi ndani ya vyama na viongozi kujiona waungu mtu
 
Kumbe mtangazaji aloitoa anaitwa david rwenyengera,huyu tunamjua cku nyingi.ni ant_cdm na anatumika sana na chatanda.juzi nlimuona na aliyekua diwani ras wa kaloleni
Mtangazaji ni mzuri sana kwamza kaanza kuikosoa CCM, baadaye akazungumzia MADIWANI JE? MNATAKAJE TUSIISIKILIZE RADIO 5 ARUSHA KWA KUWA NI MPINGA CDM?
sasa hivi kupata Station asubuhi isiyokuwa na udaku ni nadra sana imebaki Radio 5 tu, km unataka umbea zipo mwacheni David na sumary watujuze na wengineo wa Redio 5 nawapa hongera sana
arusha kwa ujumla pagumu kisiasa kuna makundi na ukabila toka enzi za wabunge wa awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…