... Nikamwambia akirudi kwao afanye process ya kubadili jina. Na nikampendekezea aitwe Kalumanzila. Alifanikwa! Mpaka ninapoandika hivi huyo jamaa anitwa (jina la pili) Kalumanzila. Ana furaha tele kujitambulisha kama mwafrika.
PlanckScale UNGEANZA NA JINA BANDIA LA KIBANTU UNGEELEWEKA VIZURI ZAIDI.
Mhh usiombe mzungu atamke jina la kibantu utacheka balaaa!
Mimi ni mmoja wapo nita muincourage mwanangu asitumie kabisa majina ya ukoo.
Ungetakiwa kuwa mfano hata kwa ID yako. Ningekusapoti ila unataka kuwa kibao kuelekeza wenzako tu
Ni vizuri kutumia majina haya ya ukoo/asili kwani yana kutambulisha.Kuna watu ambao asili yao ni Africa wanayatamani haya majina ,mfano Prof Maulana Kalenga & Jumbe Hodari.