Tusitishane siachi kutafuta mwanaume mtandaoni

Miss kuna jamaa kakugegeda kasema alitegemea makubwa kwako kumbe huna lolote.
Nhoja niishie hapa
 
yupi tena huyo katuharibia upepo
 
Nachompendea Miss natufuta;
huwa aogopi kitu katika kila anachokipenda na huwa anachojali sana ni furaha yake wewe ukinuna, ukikasirika yeye hana time, pia hujiachia stress free kwake.......ngoja nigonge like kila post yake katika uzi huu kwajili ya kumtunuku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…