Tusitegemee jipya kutoka NEC ya CCM Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusitegemee jipya kutoka NEC ya CCM Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Imany John, Nov 23, 2011.

 1. Imany John

  Imany John Verified User

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Habari wanajamii,
  Nimeona ni vizuri kuwajulisha moja ya kauli zilizotawala ndani ya midomo ya wanakamati ya kamati kuu ya ccm,
  Wanamsemo unaosema "HATUKUJA DODOMA KUFUKUZANA"
  Ndugu zangu kwa kauli kama izo kuna matumaini yoyote ya kusema gamba limeishia kwenye kichwa? Au gamba limekataa kuvuka?
  Kwa kauli kama hiyo tusitarajie jipya kutoka dodoma.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  tatizo lako unataka kuisemea ccm subiri wao waamue utapata majibu sahihi ya kujadili uamuzi wao
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  usikisemee chama ambacho wewe sio mfuasi wake ni lazima utatoa mtazamo wenye upendeleo, mtazamo wenye ubaguzi.
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  CCM wanasema hawakwenda kufukuzana dodoma wewe unasema kwa nini hawafukuzana kumbe ulikuwa na jibu tayari.
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  wewe ulitegemea jipya lipi
   
 6. Imany John

  Imany John Verified User

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Wewe ni mwana kamati?
  Unajaribu kuficha ukweli wakati teyari tumeshajua.
   
 7. Imany John

  Imany John Verified User

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Hamna jipya ilo natambua.
  Nilikuwa najaribu kuweka sawa mana kuna raia walizusha humu kuna raia wa chama cha magamba wamevuliwa magamba.
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kama kuna jipya au yote ya zamani tutajua tu muda ukifika
   
 9. j

  jigoku JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Chama cha kinafiki,hakiwezi kuwanyoshea kidole wanafiki wenzao,chama cha mafisadi hakiwezi kuwafukuza mafisadi wenzao,chama cha watu wachafu wa kiamaadili hakiwezi kuwafukuza wachafu wenzao,chama cha dhuluma hakiwezi kuwafukuza dhulumati wenzao,magamba kwa magamba nani atamwambia mwenzie wewe ni ngozi?jamani tusitarajie jipya kwa manufaa ya wananchi wote bila kujali itikadi za chama.hapo ni fisi kwa fisi wanagombea minofu ya nchi ya Tanzania ,hali itakuwa nzuri kama Tanzania ikibaki mifupa tena mifupa chakavu ndio wanaweza wasigombee.mvutano ulioko huko Dodoma ni kwa ajili ya masilahi yao viongozi vijana kwa wazee na wale ambao walishavuna.Hkuna kilicho cha kweli kinaweza kutoka kwa chama cha magamba.Ushauri ni NGUVU YA UMMA PEKEE INAWEZA KULINUSURU TAIFA HILI.
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  fisi na mizoga ndio kazi yake.
  shangila siku ukiona fisi anabeba mizoga anakuambia anaenda kuitupa.
   
 11. Imany John

  Imany John Verified User

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Umenena vema.
   
 12. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wengine tulishajua mapema hata kabla hawajaenda Dodoma kwamba hakutakuwa lolote jipya hasa ukizingatia kuwa mwenyekiti ni yule yule kinara wa mafisadi.
   
Loading...