Tusishabikie kwa yale tusioyajua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusishabikie kwa yale tusioyajua!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Buluki., Jun 18, 2011.

 1. B

  Buluki. New Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi!Kumekuwa na atabia ya baadh ya watanzania kushabikia mambo wasioyajua na kuyatolea suluhu.
  Ni vizur kukaa kimya utaonekana pia unajua kuliko uongee ovyo halaf ifahamike kuwa hujui kitu!
  Natolea mfano mgomo wa Udom,watu wanaongea mambo meng bila kuuliza nn chanzo.
  Tafadhal fuatilia mambo kabla hujaropoka!
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Mheshimiwa Iddi Azan (Zungu) na Nape watakuwa wamekusikia mkuu
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Siri ya mgomo huijua wagomaji tuuuuu......usitegemee media wala mtu wa utawala atolee maelezo kuhusu mgomo......kila mtu anweza sema lake.....hata mie naweza sema watu wanagoma shule inapokua tyt na pesa zinapoisha
  huyo azan hajui matatizo ya tandale atajua ya wasomiiii
   
Loading...