Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

Huna mpya wewe tuwachie tusafishe nchi iliyokuwa imechafuliwa kwa heshima za woga sasa tuko huru tukiwa na heshima ya ndani ya moyo na nafsi zetu wewe endelea na upumbavu wenu wa kumuabudu mtu ambaye ameshaondoka na kama huriziki na nchi inavyoendeshwa basi jinyonge ili ukaonane na kipenzi chako.
 
Umemaliza ndugu Mzizi wa Mbuyu .
Kongole sana.
Kama mwendakuzimu alikuwa anakerwa na uhuni wa CCM na kuwa na mapenzi mema na Tanzania, angetengeneza mifumo bora ya kiuongozi badala ya uungu mtu alioutengeneza.
Mhuni numbero uno ni yeye huyo.
 
Kweli JPM alikuwa mzito miezi 13 baada ya kufariki bado anatajwa, mnajua watu wengine akifa na lake linafutika fastaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…