Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Hahahahahaha were sio mzima kwasasa inawezekana Bavaria zishakukolea!napenda sana bavaria sitaki pombe haina maana kwangu
hamna mkuu niko timamu kabisa ile ni 0% alcHahahahahaha were sio mzima kwasasa inawezekana Bavaria zishakukolea!
mzee mzima haishiwi maneno
Hujakumbana na ubaguzi wa sehemu za starehe ndugu, tupeane hongera japo yataka uvumilivuSasa tupeane pole au tupeane hongera? Badirisha heading yako bhana!
Bilashaka unajutia kutokunywa! Kwann ujipe tabu anza kunywa au bado unasoma? Binafsi sitakaa nijutie kutokunywa pombe hata siku mojaHujakumbana na ubaguzi wa sehemu za starehe ndugu, tupeane hongera japo yataka uvumilivu
Nakuunga mikono na miguu uliposema bangi tiba, nipo najitibu hapa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Hata bangi ni tiba iwe kiasi, hata machungwa ni tiba ila iwe kiasi, kila kitu ni tiba mpaka mivinyo na bia ila iwe kiasi, Kuna watu wanashauriwa wanywe mivinyo kutibu tatizo la low blood pressure