Tusiotumia mitandao ya kijamii tujuane!

Mkuu! Ngoja uuone uraibu wa JF.
 
JF unafanya biashara gani?
 
Malipo yake yakoje?
Malipo ni likes na dislike

Ila ukiacha utani huu mtandao una wateja Sana hasa ukiwa unautumia vizuri kuuza bidhaa zako .

Ukitoa IG , mtandao ambao nimeuza sana bidhaa ni JF huku kuna wale tunawaita potential clients.

MTU yeyote mitandao ambayo anabidi asikae nayo mbali ni JF, IG , FB na ticktock

Wateja wa kike huchezea IG, na ticktock na wateja wa kiume huwa FB na JF .

So tutumie mitandao vizuri kuna opportunities mbalimbali kibiashara n.k
 
Uko sahihi mkuu.
Nilikuja kugundua JF ina watu ni wa muhimu sana na kuna special clients ambao huwezi kuwapata popote.
JF ndio mahali pekee ambako mteja msiyefahamiana anaweza akakutumia milioni 5 umpelekee mzigo na hana muda na wewe wa kukusumbua au kukukumbusha kila wakati ni wewe mwenyewe utajipangilia.
 
100% na hao Clients wengi huwa hawakomenti , wala kulikes na baadhi sio members huingia Kama guests
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…