Habari zenu, Leo hii naomba kuongelea wale tunao miliki magari lakini hatuna parking, yaani kuna jambo linakera mtaani kwetu, tuna paki gari CCM lakini CCM hao wamekua ni wanyanyasaji wa hali ya Juu,
Imagine sheria yao inasema geti linafungwa saa4 asubuhi baada ya magari yote kutoka lakini wanatulazimisha kutoa magari SAA 12 kasoro asubuhi.
Pili hawatoi risiti za aina yeyote je hii ni halali? Huu uonevu unakera kwakweli nafikiria kwenda kuwashitaki TRA waanze kutozwa kodi haiwezekani magari zaidi ya 30 yanalala pale na hakuna risiti wala kumjali mteja.
Nyie kwenu huko hali ikoje?