BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Kumbe tuko wengi tunao pitia magumu kwa kukosa wazazi wote wawili ...kiukweli kuna siku mtu unalia usiku mzima , unaomboleza ukiwa, ukiwa wa kukosa wazazi wote ni mbaya basi tu, Mama yangu alifariki 2001, baba yangu mwaka jana mwezi wa kwanza , Wazazi wanauma jamani ..mlio na wazazi wapendeni mno. . R.i.p mom and dad ..happy mother's day in heaven.Wakuu,
Leo ni siku ya kina mama duniani, kila inapofika siku kama ya leo sisi tusio na mama tunakua tunapitia katika kipindi kigumu sana. Maana kila mahali watu wanapost wazazi wao na sisi hatuna cha kupost.
Kila siku tunawakumbuka mama zetu lakini siku kama ya leo ni siku ambayo hata kama una roho ngumu unaweza ukalia na kumuuliza Mungu ulimkosea nini mpaka akamuondoa mama yako mapema.
Mama yangu alifariki nikiwa darasa la tano, leo hii namimi ni mzazi lakini pengo la mama halijawahi kuzibwa na chochote kile.
Wito, kama una mama hakikisha unafurahia sana uhai wake. Mfanye awe mwenye kujivunia uwepo wako hata kama huna kitu, napenda namimi ningekuwa na mama yangu lakini haiwezekani tena.
Mama yangu hayupo, baba yangu hayupo, sina wazazi. Naumia sana
Happy mother's day in heaven mom
Mmh.Umri wote huu unalilia mama?
Nini emmytaMmh.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kichwa maji au madhara ya kunywa bangi kabla ya kula!!Umri wote huu unalilia mama?
Ndio nini sasaKichwa maji au madhara ya kunywa bangi kabla ya kula!!
Kumbe!!!!!Nini emmyta
Mwanaume ndo huyuNini emmyta
Ujinga.Kumbe!!!!!
Nilikuwa namjibu aliyesama emmyata ndiye kipenzi changu Hajar nimesangaa sanaUjinga.
Kama alisha fariki, basi ishakuwa hivyo na maisha lazima yaendelee.
Mtoto mdogo ambae bado anahitaji malezi ya mama ndie anaweza lialia kwa kukosa mama.
Lkn mtu unamiaka zaidi ya 20, na mama alikwisha fariki zama huko, kudeka deka na kulialia ni ushamba na utoto.