Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,447
- 24,480
Ilikua bora hilo kuliko mateso tuliyowahi kupitia kwenye hiyo njia, ilijengwa kwa fedha za ndani na mjini kidogo wa Kuwait fund, nchi za magharibi walikataa kufund, tushawahi kutumia wiki mbili Dar to Lindi, na hata begi linalipiwaView attachment 2983070
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa hini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.
Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wae wae -wachina.
Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maefu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.
Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
Nina uhakika , huko Uswisi hujafika!Hata Uswisi barabara zimekatwa na Mafuriko 🐼
Dunia Kiganjani 🐼Nina uhakika , huko Uswisi hujafika!
Isipoharibika mapema halafu tukae tunapiga miayo tu. ??!View attachment 2983070
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa hini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.
Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wae wae -wachina.
Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maefu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.
Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
Mkuu ndio tatizo kubwa, tuliwekeza kimasikini sasa tunalipia udhaifu huo.Ilikua bora hilo kuliko mateso tuliyowahi kupitia kwenye hiyo njia, ilijengwa kwa fedha za ndani na mjini kidogo wa Kuwait fund, nchi za magharibi walikataa kufund, tushawahi kutumia wiki mbili Dar to Lindi, na hata begi linalipiwa
Nashukuru Mungu nilikua mmoja wa waliopaza sauti miaka Ile ya bwanamkubwa kujigamba kuwa unaweza kuendesha taxi kutoka Mtwara Hadi Mwanza.View attachment 2983070
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa hini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.
Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wae wae -wachina.
Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maefu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.
Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
Waziri alikuwa Mbarawa na alitakiwa mpk sasa awe kizuizini lakini kwa vile ni mtu wa Ijumaa na anatoka sehemu moja na maza hakuna nenoView attachment 2983070
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa hini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.
Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wae wae -wachina.
Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maefu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.
Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
Magufuli anatakiwa kuwajibika!Nashukuru Mungu nilikua mmoja wa waliopaza sauti miaka Ile ya bwanamkubwa kujigamba kuwa unaweza kuendesha taxi kutoka Mtwara Hadi Mwanza.
Kwa hiyo sisi ni "Uswisi"?Kwa nini hatuna Geneva yenye manoti?Hata Uswisi barabara zimekatwa na Mafuriko 🐼
Magufuli anatakiwa kuwajibika!Nashukuru Mungu nilikua mmoja wa waliopaza sauti miaka Ile ya bwanamkubwa kujigamba kuwa unaweza kuendesha taxi kutoka Mtwara Hadi Mwanza.
Lete mbegeAcha Bangi
Mramba Fedha zote alipeleka KaskaziniNilikua Mtwara tarehe 22 mwezi wa nne 2024 inasikitisha Sana Sana, wengi wanaongea kwa kuangalia picha, mimi nimefika huko, kile kipande cha kuanzia daraja la mkapa Hadi Somanga mbele mbele kule Hadi Nangurukuru ni Aibu Sana. Ndio maana Ajali haziishi
Umeongea point sanaBarabara sio kwamba iko chini ya kiwango ile barabara ilijengwa bila kuzingatia hali halisi ya ardhi ilivyo ,rdhi ile ukiangalia sehemu kubwa kuanzia Rufiji mpaka karibu na Kilwa sehemu kubwa iko kwenye mikondo ya mito,kwahiyo kiwango cha unyevunyevu ni kikubwa sana ,ndio maana ile barabara mara kwa mara ina mashimo kila wakati kwa ajili ya kutitia...
Sasa si ndio chini ya kiwango chenyewe sasa Mpwa?? Unakataa nini na unaandika nini??Barabara sio kwamba iko chini ya kiwango ile barabara ilijengwa bila kuzingatia hali halisi ya ardhi ilivyo ,rdhi ile ukiangalia sehemu kubwa kuanzia Rufiji mpaka karibu na Kilwa sehemu kubwa iko kwenye mikondo ya mito,kwahiyo kiwango cha unyevunyevu ni kikubwa sana ,ndio maana ile barabara mara kwa mara ina mashimo kila wakati kwa ajili ya kutitia...
Makonda atawafurahisha soon 😄Kwa hiyo sisi ni "Uswisi"?Kwa nini hatuna Geneva yenye manoti?