Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Siasa ni maisha kwa baadhi ya watu ambao wanaitegemea ili mkono upate kwenda kinywani, lakini kwa mtu kama mimi nategemea biashara zangu kujiinginzia kipato
Sisi wote ni kitu kimoja na haya makosa ya kusain mikataba mibovu yaliweza kufanywa na selikali za awamu zillizopita ambazo zilikuwa zinasimamiwa na lowasa, kingunge, sumaye na wengine weng kama akina membe
Tusitake kurud nyuma kilichopo yatupasa kwenda mbele daima, sisi kama wananchi lazima tupige kelele ili bunge liipitie upya mikataba ili liije na mipya hii ya zaman itupwe,
Lisiishie tu kurekebisha mikataba lije pia na sheria kali kwa watu watakaoonekana kutetea wakwepa kodi kama anavyofanya Lisu waweze kupata adhabu kali kama sio kunyongwa basi iwe kutupwa mto Kagera, ili kukomesha huu uhuni unaofanyika sasahivi
Nawasilisha karibuni napata juice mdogo mdogo