Tuwahamishe lakini follow up ni muhimu!Mitatu kwote huko?? Unamuandalia mazingira ya kuvutia kulala nyumba nzima akishaanza kutembea na kuongea, utajikuta anahama kwako mapema coz atakuwa anamove na hamu ya leo analala wapi kwa dada kwa kaka au kwa baba na mama! Akianza hivyo tu tayari huyo amehama maana mtoto wa miaka mitatu ni mkubwa sana na anweza hata kutoa story nzima ya alichokiona usiku, tena afadhali aongee tu maana hawakawii kuanza kujaribu kabisa.
Kwa wale wenye chumba kimoja unawashauri nini halafu kuna zile nyumba zetu za uswazi zenye vyumba 6 halafu juu hamna slng bd mtu akilianzisha chumba cha kwanza mpaka cha tatu wanaisoma move we tembea uswazi uone mambo na kuna nyumba nyingine madirisha ya nyumba kwa nyumba yamebanana sasa ndo ukute watoto ndio wamelala chumba kinachoshabihiana na jirani shababi kuna watoto kweli ndio maana hapana chezea watoto wa uswazi ni noma teambea uone.
Tuwahamishe lakini follow up ni muhimu!
Mtoe kwako umfunze kulala chumbani kwake,ikibidi alale na mtu kuwa makini kufatilia pia sio unajitanua tu kufurahia uhuru huku nako mtoto anaharibiwa.
Watoto wengi wameharibiwa na wajomba,Baba wadogo na wasichana wa kazi.
Tuwahamishe lakini follow up ni muhimu!
Mtoe kwako umfunze kulala chumbani kwake,ikibidi alale na mtu kuwa makini kufatilia pia sio unajitanua tu kufurahia uhuru huku nako mtoto anaharibiwa.
Watoto wengi wameharibiwa na wajomba,Baba wadogo na wasichana wa kazi.
Watoto wanafanya lile tendo liwe gumu khaaaaa
ndo maana kumbe excitement zinaishaga kwenye ndoa
yani mnaviziana kama jogoo na mtetea
Maisha yamebadilika wakati ule mtoto anafikisha miaka kumi na zaidi lakini mambo ya ngono hayajui kabisa, lakini siku hizi siyo, mtoto wa miaka 5 tayari anajua mpaka kondom kama mzazi mtoto akifikisha miaka kuanzia mitatu ni vema akaanza kulala chumba tofauti na chenu, kwakuwa mtakayoyafanya yote usiku mkidhani hawaoni na wamelala, mnajiongopea, hawalali hao wanasubiri tu muanze wapate sinema ya bure
kwani leo lazima uandike kila post loding error