Mitatu kwote huko?? Unamuandalia mazingira ya kuvutia kulala nyumba nzima akishaanza kutembea na kuongea, utajikuta anahama kwako mapema coz atakuwa anamove na hamu ya leo analala wapi kwa dada kwa kaka au kwa baba na mama! Akianza hivyo tu tayari huyo amehama maana mtoto wa miaka mitatu ni mkubwa sana na anweza hata kutoa story nzima ya alichokiona usiku, tena afadhali aongee tu maana hawakawii kuanza kujaribu kabisa.
Majanga hayo baba. but point takenMaisha yamebadilika wakati ule mtoto anafikisha miaka kumi na zaidi lakini mambo ya ngono hayajui kabisa, lakini siku hizi siyo, mtoto wa miaka 5 tayari anajua mpaka kondom kama mzazi mtoto akifikisha miaka kuanzia mitatu ni vema akaanza kulala chumba tofauti na chenu, kwakuwa mtakayoyafanya yote usiku mkidhani hawaoni na wamelala, mnajiongopea, hawalali hao wanasubiri tu muanze wapate sinema ya bure
Watoto wanafanya lile tendo liwe gumu khaaaaa
ndo maana kumbe excitement zinaishaga kwenye ndoa
yani mnaviziana kama jogoo na mtetea
hahahahahahahahhahahahahahahahaha jogoo na mtetea.
Mtoto mara aamke, mara atake kojoa tunaahirisha zoezi mara asweat umfunue eeeh ni shidaaaa
haya bwana.............loading error........................
Maisha yamebadilika wakati ule mtoto anafikisha miaka kumi na zaidi lakini mambo ya ngono hayajui kabisa, lakini siku hizi siyo, mtoto wa miaka 5 tayari anajua mpaka kondom kama mzazi mtoto akifikisha miaka kuanzia mitatu ni vema akaanza kulala chumba tofauti na chenu, kwakuwa mtakayoyafanya yote usiku mkidhani hawaoni na wamelala, mnajiongopea, hawalali hao wanasubiri tu muanze wapate sinema ya bure
Hahahaaaaa..!! Unamenifanya nicheke sana halafu nipo kwenye watu, kilichonichekesha ni nimejikuta najiuliza iweje kibano apewe mama then jasho atoke mtoto?? Inaelekea purukushani zake si mchezo, angalia tu siku msije mkapurukushana mpaka mkamdondosha mtoto.
Watoto wanafanya lile tendo liwe gumu khaaaaa
ndo maana kumbe excitement zinaishaga kwenye ndoa
yani mnaviziana kama jogoo na mtetea
hahahahahahahahhahahahahahahahaha jogoo na mtetea.