Tusikate tamaa, ukombozi wa Nchi ni Process

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
546
Reaction score
1,114
Kamwe, kamwe, kamwe tusikate tamaa. Ukombozi huwa haupatikani kwa njia ya mkato tu. Wakati mwingine ni process ndefu yenye milima na mabonde. Lililotokea leo kwenye kesi ya Tundu Lissu lisitukatishe tamaa, inawezekana ni hatua mojawapo ya kuelekea kwenye ukombozi kamili.

Niwaombe sana wale ndugu zetu wanaoendesha hili gari kuelekea kwenye ukombozi wasiachie usukani njiani ilhali bado wanapumua.

CHADEMA bado wana nguvu kubwa sana tena sana ndo maana watawala wetu hawalali usingizi. Kama CHADEMA kisingekuwa tishio kubwa kwa watawala, hata Mwenyekiti angekuwa huru mpaka leo.

Wiki hili kuelekea kesi ya Tundu Lissu watawala hawajapata usingizi kabisa ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kudhibiti viongozi wa CHADEMA. Mimi naamini, haya yanayotokea ni mpango mzima wa kuelekea kwenye ukombozi kamili.

Huku mtaani watu wamechukia sana, lakini hatua kwa hatua, huko mbeleni watu hawa watakuja kuwa na ujasiri usiomithilika. Bado kidogo sana.

John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, please, msikate tamaa, naamini siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na kuwa majasiri wa pekee sana katika Nchi hii.

Mungu awabariki na awatie nguvu na uwezo wa ajabu.
 
Kamwe, kamwe, kamwe tusikate tamaa. Ukombozi huwa haupatikani kwa njia ya mkato tu. Wakati mwingine ni process ndefu yenye milima na mabonde. Lililotokea leo kwenye kesi ya Tundu Lissu lisitukatishe tamaa, inawezekana ni hatua mojawapo ya kuelekea kwenye ukombozi kamili. Niwaombe sana wale ndugu zetu wanaoendesha hili gari kuelekea kwenye ukombozi wasiachie usukani njiani ilhali bado wanapumua.
CHADEMA bado wana nguvu kubwa sana tena sana ndo maana watawala wetu hawalali usingizi. Kama CHADEMA kisingekuwa tishio kubwa kwa watawala, hata Mwenyekiti angekuwa huru mpaka leo.

Wiki hili kuelekea kesi ya Tundu Lissu watawala hawajapata usingizi kabisa ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kudhibiti viongozi wa CHADEMA. Mimi naamini, haya yanayotokea ni mpango mzima wa kuelekea kwenye ukombozi kamili. Huku mtaani watu wamechukia sana, lakini hatua kwa hatua, huko mbeleni watu hawa watakuja kuwa na ujasiri usiomithilika. Bado kidogo sana.
Mheshimiwa John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, please, msikate tamaa, naamini siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na kuwa majasiri wa pekee sana katika Nchi hii.
Mungu awabariki na awatie nguvu na uwezo wa ajabu.
Ubarikiwe kwa maneno yenye kutia hamasa hasa ktk kipindi hiki ambacho watanzania wenye kuitakia nchi yetu Mabadiliko makubwa ya Kisera, Kiuchumi na hata ya Kifikra....
Wanapopitishwa ktk mateso VIVA CHADEMA....
 
Tutashinda hivi punde. Watesi wetu wamechanganyikiwa kabisa.
CHADEMA inawanyima usingizi.
 
Endeleeni kupata usingizi ,upande mwingine hawapati usingizi maana wana mamlaka ya kuongoza na kulinda nchi ndo maana mnaweza kupata usingizi
 
Kamwe, kamwe, kamwe tusikate tamaa. Ukombozi huwa haupatikani kwa njia ya mkato tu. Wakati mwingine ni process ndefu yenye milima na mabonde. Lililotokea leo kwenye kesi ya Tundu Lissu lisitukatishe tamaa, inawezekana ni hatua mojawapo ya kuelekea kwenye ukombozi kamili.

Niwaombe sana wale ndugu zetu wanaoendesha hili gari kuelekea kwenye ukombozi wasiachie usukani njiani ilhali bado wanapumua.

CHADEMA bado wana nguvu kubwa sana tena sana ndo maana watawala wetu hawalali usingizi. Kama CHADEMA kisingekuwa tishio kubwa kwa watawala, hata Mwenyekiti angekuwa huru mpaka leo.

Wiki hili kuelekea kesi ya Tundu Lissu watawala hawajapata usingizi kabisa ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kudhibiti viongozi wa CHADEMA. Mimi naamini, haya yanayotokea ni mpango mzima wa kuelekea kwenye ukombozi kamili.

Huku mtaani watu wamechukia sana, lakini hatua kwa hatua, huko mbeleni watu hawa watakuja kuwa na ujasiri usiomithilika. Bado kidogo sana.

John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, please, msikate tamaa, naamini siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na kuwa majasiri wa pekee sana katika Nchi hii.

Mungu awabariki na awatie nguvu na uwezo wa ajabu.
Tutashinda hivi punde. Watesi wetu wamechanganyikiwa kabisa.
CHADEMA inawanyima usingizi.
Ila ukisikiliza vijiweni watu wanavyoongelea serikali yao utaona kabisa wananchi wengi wanatembea na hasira kali sana vifuani mwao ila wapo kimya tu.

Attachments

  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB

Ukombozi ni process gan wakat vijana mmechagua key board Warriors ?

Polisi wenyewe maskini hata Afya hawana wapo na mbwa wao dah

Shida mmechagua u key board ,
 
Ila ukisikiliza vijiweni watu wanavyoongelea serikali yao utaona kabisa wananchi wengi wanatembea na hasira kali sana vifuani mwao ila wapo kimya tu.
Karl ya Mbwa na CCM nachagua Mbwa
 
Kamwe, kamwe, kamwe tusikate tamaa. Ukombozi huwa haupatikani kwa njia ya mkato tu. Wakati mwingine ni process ndefu yenye milima na mabonde. Lililotokea leo kwenye kesi ya Tundu Lissu lisitukatishe tamaa, inawezekana ni hatua mojawapo ya kuelekea kwenye ukombozi kamili.

Niwaombe sana wale ndugu zetu wanaoendesha hili gari kuelekea kwenye ukombozi wasiachie usukani njiani ilhali bado wanapumua.

CHADEMA bado wana nguvu kubwa sana tena sana ndo maana watawala wetu hawalali usingizi. Kama CHADEMA kisingekuwa tishio kubwa kwa watawala, hata Mwenyekiti angekuwa huru mpaka leo.

Wiki hili kuelekea kesi ya Tundu Lissu watawala hawajapata usingizi kabisa ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kudhibiti viongozi wa CHADEMA. Mimi naamini, haya yanayotokea ni mpango mzima wa kuelekea kwenye ukombozi kamili.

Huku mtaani watu wamechukia sana, lakini hatua kwa hatua, huko mbeleni watu hawa watakuja kuwa na ujasiri usiomithilika. Bado kidogo sana.

John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, please, msikate tamaa, naamini siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na kuwa majasiri wa pekee sana katika Nchi hii.

Mungu awabariki na awatie nguvu na uwezo wa ajabu.
TUWAUNGE MKONO KWA TONE TONE
 
Back
Top Bottom