Tusijisahau hata kidogo....

Ranks

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,583
1,097
Vasco dagama wetu pia alidhamiria kunyoosha nchi lakini jambo la kushangaza mrithi wake analalama amekuta ni madudu tu kila idara hivyo naye kwa wakati wake amepania kuinyoosha nchi.,Ama kweli ccm ni ileile.
 
images-1627.jpeg

images-607.jpeg

images-999.jpeg
 
Kunyoosha kukizidi mwisho kitu kinachonyoosha kipinde zaidi na wala kisinyooke tena
 
Back
Top Bottom