Ujumbe mzito sana huu. Hapa wanafiki kama kina Pasco na Manyerere Jackton hutawaona wakiweka mguuCCM ijielekeze kule ambapo tunaweza kupita bila kupingwa.Kule ambapo wananchi bado wanakitambua na kukipenda 'chama cha Nyerere' pasipo kufuatilia hasa kinachofanya na jinsi kinavyowahudumia. Kule ambapo CCM huchaguliwa kwa rangi yake;takrima yake;'mbinu zake' na 'mizengwe yake'. Lakini si Sombetini.
Twende kule ambapo idadi ya wapigakura yaweza kubadilishwa bila ya vikwazo vyovyote. Kule ambapo majina ya waliojiandikisha yaweza kuwa yoyote yale na hatuhojiwi.Twende kule ambapo mgombea wetu aweza kutangazwa mshindi 'kwa dharura na chini ya ulinzi mkali'.Kwakuwa watu wanakipenda chama chetu.Kwakuwa watu wanapenda CCM na viongozi wake.Kwakuwa daftari la kupigia kura laweza kutupa ushindi.Kwakuwa wananchi wanaweza 'kuzuiwa' kwenda kupiga kura zao. Lakini si Sombetini.
Sombetini tusiende. Hakuna haja. Twendeni kwingineko katika Kata 28. Hima chama changu,tusonge mbele!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Waeleze ukweli mkuu,hapa hata mgombea wa maccm sombetini amewaambia hatatumia hata mia yake kwani atafilisika bure ilhali baada ya uchaguzi watamwacha akitafuta upya maisha.
Tupatupa umesahau na ile kata moja kule Bunda mlikokosa mwakilishi je huko mtakwenda tu kwa vile ni kwa bosi wa sera na utawala haramu au??? Tanzania ya leo sio ya Ccm na mabavu tena.RIP Ccm
ingekuwa vizur sana watanzania bila kujali chama tukawa wakweli kama wewe.
ccm wana KAZI Kubwa sombetii, labda wapeleke baraza lote la mawaziri na rais akiwemo...
Sombetiniiiiii
Ni kweli hapa sitii mguu, hiki ni kidole tuu, hapa sitii mguu, somo la Arumeru limenitosha.Ujumbe mzito sana huu. Hapa kina Pasco na Manyerere Jackton hutawaona wakiweka mguu
Ukweli lazima usemwe.Liwalo na liwe! ha ha ha ha ha ha haNi kweli hapa sitii mguu, hiki ni kidole tuu, hapa sitii mguu, somo la Arumeru limenitosha.
Wito wangu kwa Chadema wasimamishe kila nafasi no matter what, kuna strong hold za CCM lakini CCM imechokwa mpaka basi, hata ukisimamisha jiwe, jiwe litapita.
Pasco
Wageni humu wamekuwa wengi, wale wa zamani wanamfahamu Pasco wa jf, ndie yule yule juzi jana na leo.Pasco ni maneno yako haya au kuna mtu amekumezesha na kusema kupitia wewe siamini.
tumewakamata kila idara kama viwavi. there's no safe heaven, na hasa kama mmefikia hatua ya kutegemea 'hila', badala ya sera, hamfiki popote.
Si bure, kuna hacking ya hii account.wa
Wageni humu wamekuwa wengi, wale wa zamani wanamfahamu Pasco wa jf, ndie yule yule juzi jana na leo.
Pasco
Mkuu Mwembe, human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time!. Mimi ndiye Pasco mwenyewe hakuna hacking yoyote!.Si bure, kuna hacking ya hii account.
Ni kweli hapa sitii mguu, hiki ni kidole tuu, hapa sitii mguu, somo la Arumeru limenitosha.
Wito wangu kwa Chadema wasimamishe kila nafasi no matter what, kuna strong hold za CCM lakini CCM imechokwa mpaka basi, hata ukisimamisha jiwe, jiwe litapita.
Pasco