Achana na mimi kapambane na kina chengePamoja na wewe au wewe mgeni nchi hii?!?
Watajitetea wao sio wewe uwatetee!!Hata kama ni wachafu Katiba yako imezuia kuwashtaki.Ndiyo shida nyingine tena.
Upande wa pili bungeni wasitajwe ndiooooooooMkapa na Kikwete watajwe au wasitajwe?
Tuanzie hapo.