Mkuu, haujawahi kuachika?? Mm naona ukigombana na mwenzi wako huaga kuna kitu kinauma kabisa, pale pale maeneo ya moyo unapokaaga, sasa hapo kinacho penda inawezekana ikawa roho/moyo wenyewe,
Ni mtazamo wangu, bado asubuhi
Aaaaaahh!!!! Yani asubui subui mnakuja na mada Kama hizii za mapenzii, So taifa litaendlea kwelii
Kwa nini ukitendwa na mpnz wako unasikia kama moyo unachanika chanika! !! Au ni mimi tu!!!?
Hahah wewe ni mzoefu.
Ni hisia zinazoanzia kwenye ufahamu na kuja kuishia moyoni ni mgawanyo tu wa majukumu ya mwili ukiwaza sana ubongo ndio hufanya kazi sana mpaka kichwa kinauma na ukiumizwa sana moyo huuma lakini shina ya yote ni conscious mind hii ndio kila kitu
Ukilichukua limoyo au liubongo ukaliweka hapo kama havina conscious mind ni manyama tu ya kubanikwa au kupikwa roast ushushie na bia au chapati au ugali
Kwaiyo akili ndio inayopenda na sio moyo?
Unajua hapa umeingia jukwaa gani? kwani taifa linaendelea kwa watu kutojadili mapenzi? Hata taifa lenyewe halina wizara moja tu ya maendeleo, tuwe tunafikiria vitu katika barabara pana jamani
Kila siku tumekua tukiamini moyo ndo unapenda lakini si kweli, kwanza ijulikane, moyo kazi yake ni kupamp damu kwenye mwili wa binadamu so haihusiani kabisa na mapenzi ambayo at last huwa ni sex.
Unapompenda mtu moyo hautoonesha hata siku moja kama umempenda bali hutumika akili na organ za uzazi kuonesha umempenda, akili hutumika kwa kumfurahisha kwa kumpa zawadi, suprise n.k
Kwa kujua atafurahi organ za uzazi hutumika kwa kufanya sex kwa ajili ya kukidhi haja za kimwili na moyo muda wote huo unaendelea na kazi yake ya kupamp damu kwenye mwili na si kupenda.
Natumaini wapo wenzangu wanaoamini hivyo.