Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
hivi kuu unaweza kusema kuna mateso wanayapata yapi?? mpaka watafute suluhu nje badala ya hapahapa
Mateso?
Unazungumzia mateso?
Nafanya biashara,mateso nayopata sasa hivi kuanzia 2015 pamoja na wenzangu,ni Mungu pekee anayajua!
Wewe huoni mateso,ni heri uendelee kuishabikia CCM,ni haki yako,na sisi ni haki yetu kubaki huku tulipo.
Haina haja ya wewe kuumia roho namna hii kwamba hatupo na serikali yenu!