Besta Mlagila
Senior Member
- May 29, 2018
- 101
- 191
Hivi karibuni wafuasi wa CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kwenda makanisani na sare za chama, Najiuliza Vipi CCM, ACT-Wazalendo, CUF au vyama vingine vikianza kwenda makanisani na sare za vyama vyao?
Makanisani watu wataanza kukaa kwa itikadi za vyama na itaibuka mijadala makanisani inayohusiana na vyama, viongozi makanisani wataanza kupingana kwa itikadi za vyama vyao na si dini.
Kama suala ni kumuombea MBOWE kwani maombi hayatasikika kama hawatavaa sare za vyama?
Mwisho makanisa yataanza kufanya siasa na tutajikuta tumeingia kwenye machafuko kama ya Rwanda ya mwaka 1994.