Ngoja niwahi tiketi yangu ya ndege naelekea South Africa lazima nifike huko Natal
natural bwana, chochote natural lazima kivutie, sipat picha hapa bongo tungekua na hilo vazi duuuu!!!
We mleta uzi mbona mi naona kama umeongopa vile!?
Hivi kweli Tanzania tuna national dress? tangu lini.... Wapi inavaliwa hiyo.
Tuna national dress kama hiyo kwenye picha? siyo uwongo huu?
Mara kumi ungeweka kitenge au kanga chini na juu kwa mwanamke basi; wakati
ya mwanamume ndo hata sijui ni nini yaani... mgolole mweupe? hii hapa chini uongo huu...
View attachment 82444