Juzi nlkw nahitaji fedha nkapita ATM nkataka kutoa 40000 nkafanya process zote lkn ikagoma pesa haikutoka. Ikabidi nichukue 50000 pesa ikatoka nkasepa zangu. Leo nazama ktk ATM kuchukua mzigo mwingine nakuta balance sio. Nkachukua Min Statement nakuta ile 40000 imekatwa as if nmechukua pesa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hizo zilinasa maana mie ilishatokea kuchomeka card tu ikatoa twenty then nikaendelea na process,i think zile zilikuwa zime nasa kwa mwingine..
Case kama hizo huwa zinatokea mara kwa mara,ni kiasi cha wewe kwenda kuclaim u're money
wanakupa,nenda kwenye branch husika au kama ni remote ATM nenda Main branch,watakupa form utajaza
then watajihakiki kwenye system kama kweli ulijaribu kutoa hela,then wakijihakiki wanakupa hela yako
Mara nyingi ATM haziko accurate kwenye kufanya kazi,hivyo ukiona umekatwa hela,ujue hiyo hela imewekwa kwenye PURGE BIN,Hivyo usipoenda kuclaim,hela yako inakuwa mali ya bank!!
Goodluck kaka,hope watakupa
Shukrani kaka. Nmewapigia wameniambia afta 24hrs nitarudishiwa. Nikiona kimya nawafuata huko huko waliko
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Baba Koku: Omukazi wange, amahela agonaguza ebintu byaitu tugabiike omubenki ki?
Mama Koku: Yowe! Tugabiike onyuma yo mti.
Kupeleka hela benki ni dalili kuwa hujiamini unaogopa kuibiwa. Fedha wekeni chini ya godoro bana, aaaaaa!