tusi la "siongei na mbwa naongea na mwenye dog" na kuongeza kuwa "hata ww unajua hilo, na pia alieomba mwongozo wa spika akaambiwa siyo mtu makini"kudadadeki limenitifua hadi nyongo. naahidi kufa na ccm na watu wasiokuwa na busara kama huyu MB. jana Lissu kaongea kuhusu secretariat ya maadili ya utumishi wa umma, uozo aliousema nimakini kabisa hatua za haraka zinatakiwa kuchukuliwa, Mnyika akajikita na usalama wa taifa ambao wamesahau majukumu yao wamejiingiza kwenye uharifu wakishirikiana na polisi wetu, za kuuwa, kunyofoa makucha na meno kwa watu wanaochomozea kuipinga serikali, watu wasiomakini wanaongea pumba, mtu kama Eng.Manyanya, alikuwa anaongea nini sasa, au Nchemba ni watu wanaoongea ushabiki wa vyama bungeni, hawatusaidii sisi wananchi. chama kama CCM na watu wake hakitakiwi kabisa ktk karne hii. Japo naona watu wachache sana makini ndani ya CCM, watu kama Mwakyembe, Kumjombe, Magufuli, Lowasa, wengine wote ni wanafiki tu kujikomba kwa wakubwa zao kufumbia maovu.