Tushirikishane madaktari bingwa wa watoto

beco

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,339
782
Hbr za pililkapilika wana jf

leo ningependa kushare madaktari bingwa wa watoto kutokana na uzoefu kwa kutibiwa au kusikia
kwa upande wangu daktari namba 1 nikikwama kabisaa kwny hosptal za kawaida huwa naenda posta (dsm) hosp ya "dar group " dr anaitwa hasanal
mnaweza mkatupia wenu
 
Back
Top Bottom