Tushirikishane fursa za Jiji la Iringa

Tushirikishane fursa za Jiji la Iringa

Nilipewa connection ya kwenda mgololo kwenye mashamba ya kupanga miti na kuitengenez barabara na yule kofia ya plastiki ,,,mashamba yapo eneo moja linaloitwa sagali wilaya kilombelo nlifanya mwezi m1 nikakimbia....kazi zipo kule....5200 per day
Tupeane marejesho mlio kuwa mnatafuta Mishe iringa
 
Nilipewa connection ya kwenda mgololo kwenye mashamba ya kupanga miti na kuitengenez barabara na yule kofia ya plastiki ,,,mashamba yapo eneo moja linaloitwa sagali wilaya kilombelo nlifanya mwezi m1 nikakimbia....kazi zipo kule....5200 per day
Aha kama upo iringa au any body ambye ameona fulsa iringa tunaweza wekeza kitu au Ku partner ani pm
 
Back
Top Bottom