Tushirikishane fursa za Jiji la Iringa

Tushirikishane fursa za Jiji la Iringa

Set pet

Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
98
Reaction score
96
Helo wana JF,

Mimi ni kijana wa kiume nnaishi iringa. Nilikuwa nafanya kazi kwenye kiwanda ki1 cha kutengenez sembe hapa iringa lakni kulingana na kutokupatkana kWa malighafi yaani mahindi tumejkuta uzalishaji upo chini so tumeambiwa tukatulie kwanza haid msimu wa mavuno yatakapo kuwa tayari.

Naomben michongo ya kutengeneza pesa hapa iringa iwe deiwaka nini fresh
 
Dah kuna jamaa angu alifanya research apo iringa akanambia biashara ya nafaka na duka LA nguo inalipa vzur tu na frem n 50000 vp n kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes biashara ya nafaka inalipa vizur na frem ni 50000/month ngoja na mimi ni re rea

Yeah ngoja niifanyie utafit nione uhalisia lakini frem ni 50000/month
...cjawah kufanya research ya hizi idea ngoja nitafit then nitatake action.....
 
Fanya unifuate pm nikuchomekee kaz kiwanda fulani hivi nje ya mji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tunampango wa kuja uko bado tunatafta pesa maana kusubir ajira n shida bora kujiajir

Back
Top Bottom