Kuna hii app Link2sd ichekini pia ni nzuri sana .
Kama jina linavyojieleza ni link to SD. Hii inamaanishasha uweza iongezea internal phone memory kwa kutumia some of SD card memory.
Kwa mfano kama una memory card ya GB 32.
GB 16 unaweza kuzi link zikatumika kama internal memory na 16 zinazobakia zikatumika kwenye external. Simu inakuwa na kasi ya ajabu ukiwa na internal memory kubwa