Me natumi KEEPSAFE kaz ya app hii na faida yake ni kuifadhi picha ukidowload unaikingia kwa kutumia email na password inaifadhi picha ata simu yko ikipotea na pale utaponunua simu nyngne basi picha zako utazikuta pamoja na videos na documents nyngne unazotaka kuifadhi
Hata mimi naomba unielekeze best appilication ya masuala ya geography ama historia. Ila kwangu best appliacation ni gb whatsapp, pocket, google crome, beauty plus camera