Lucky patcher inaweza chakachua game bila simu kuwa rooted, ila inakuwa haikupi all acces yani inafunguka vitu vichache, tofauti na simu iliyo kuwa rooted inafunguka full.
Kwa PC, pakua kwanza U_Torrent app kisha install, ni free, just google it.
Hafu tembeleaga zile websites za Torrents, mfano, Kickass Torrent kat.cr hapo utakuta movie unayoitaka na utapakua kwa msaada wa ile software uliyo install

App zipo nyingi lkn hazipatikani playstore, tumia google tafuta moja kati ya hizi app kwa kuandika jina la app kisha malizia neno apk vidmate apk, showbox apk, popcorn apk nk...