Kama simu sio rooted mwizi aki reset simu na yenyewe itafutika.2: Avast Anti theft
- Download version ya kawaida kwenye playstore. Patch kwa Luckypatcher utapata premium version.
Hii avast ukiiweka huwezi poteza Android yako. Hata ukiibiwa unainaweza kuitrack kwenye website ya avast. Hata kwa SMS kupitia simu y mtu unaweza kuifunga, kuiuliza simu ilipo ikakutumia location via email through Google map.
Mwizi akibadilisha line itakwambia line iliyowekwa na number yake.Just Google it utapata faida zake
Kama simu sio rooted huwezi pata option nyingi za kuchakachua App kwa lucky patcherBest App ni Luckypatcher.
-Lucky Patcher kwenye android itakusaidia , kuondoa matangazo,break different apps' Android Market License Confirmation or other Confirmations for the applications. Unahitaji kuwa rooted.
Mfano,uki download kitu program ambayo si premium kwenye Android baada ya kuinstall fungua lucky patcher tafuta hiyo program ,open menu of patches, patch utapata premium version.
Vile vile games zote you can hack them for free.
Mkuu footbal sky sport namba ngapHii ni tv apps yani kama una tv yako nyumbani unaweza ona haina maana mkuu kila tv chanel bomba ipo kuanzia mtv mpaka sky sport za football zipo mi saiv siendi tena kukesha kwenye mabanda kisa ligi ..
Wanaboa mkuu!Uckasrike kaka ni kuwaelekeza tu kaka..
MX player pro hii ni baba lao upande wa video player
Tapatalk pia utaenjoy forums kibao tu ..mfano jf natumia Tapatalk
Ookla speed test
Hii kwaajil ya kuchek Internet speed ya mtandao wangu kwa eneo nililopo
Instagram plus..hii ni nuksi sana unaweza download videos na image za instagram kiurahis pia unaweza kuzoom picha ukiwa instagram na features kibao
Es file explore ni bonge la file manager
Snaptube kwaajili ya kushusha videos kutoka YouTube
Mobodro kwaajili ya kuenjoy tv stations za kijanja
Yani mbona apps zipo nyingi tu
Nikipata mda ntaweka link za apps zote kari tena premium zile.[/QUOTE
Uko sawa hizo nyingi unaweza kupata premium version kwa ku patch na lucky patcher. Mfano MX player ukiitoa playstore then patch unapata premium version.
Vile vile es file
Kama simu sio rooted huwezi pata option nyingi za kuchakachua App kwa lucky patcher