Simu yangu ni ya halotel so SIM 1 inaingia line ya halotel pekee.
Ukikosea ikaweka line ya halotel ktk SIM 2 hujifunga na kukataa line ya mtandao mwingine ktk SIM2. Huwez kutatua tatizo hapo mpaka ui-root simu ndo hiyo lock inatoka.
Jaribuni hizi pia
》instagram +/ Og insta
》Og youtube
Hizo zinapatikana hapa ogmods.net
Kuna hii hizi pia
》all cast
》free vpn by betternet (hii inafaa pia kwa wale wanaojaribu kusign in uktv wanashindwa
》Greenify