Siyo mzoefu wa kuweza kukutumia link app hii haipatikani play store ingia Google search andika download mobdro
Ila mbona mwanzo wa hii post wametuma link
Mobdro inasifiwa sana humu ndani lakini kwangu ni shida nimetumia mitandao kama tigo na halotel ambayo huku niliko inaonyesha H+ lakini ukiangalia game inagandaganda tatizo nini!