Kuna hiii tena Microsoft word...kwa kweli hii app nilitumia lisaaa li1 kujifunza kuitumia kusema ukweli imenipunguzia ruti nyingi za kwenda stationary kila kitu namaliza hukuhuku
Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.