Nilisahau waungwana CAll Popout ni ya lazima kuwa nayo hii unafanya kazi ukiwa rooted au bila root.
Application hii ukiwa unatumia mtandao simu inapoingia haikatishi ulichokua unafanya.
Mfano kama unatoa Tigo pesa simu ukiingia unauwezo wa ku mute na ukamalizia muamala.
Unapokea simu pale unapohitaji bila kuathiri shughuli zako.
Playstore wanayo