AsanteJinsi ya kuroot simu
Hatua yakwanza
1.hakikisha simu yako ina chaji asilimia zaidi ya 50 hili kufanikisha zoezi zima maana mpaka likamilike linakula chaji nyingi zaidi all most 15 ya simu
2.nenda setting kisha buld number kisha bofya mala saba(seven times)itakwambia your now a developer hapo hatua ya pili imekamilika
3.nenda unknown source weka tiki kama ipo acha hivo hivo
4.nenda Google search engine search king root 4.o kisha iistall kwenye simu yako
5.fungua iyo king root apk app iyo itaitambua simu yako automatically na itakupa option ya try now utabofya pale itaanza procedure za kuroot inatumi dk 10 tu kuroot simu
Note:kuroot kunaipotezea simu uhalisia na kuifanya warranty ya simu kuwa expired
Mie sihusiki kwa chochote nimekupa tu procedure
Shedede
Je vp kuhusu vitu vyangu vilivyomo havitafutika au kupotea!?Jinsi ya kuroot simu
Hatua yakwanza
1.hakikisha simu yako ina chaji asilimia zaidi ya 50 hili kufanikisha zoezi zima maana mpaka likamilike linakula chaji nyingi zaidi all most 15 ya simu
2.nenda setting kisha buld number kisha bofya mala saba(seven times)itakwambia your now a developer hapo hatua ya pili imekamilika
3.nenda unknown source weka tiki kama ipo acha hivo hivo
4.nenda Google search engine search king root 4.o kisha iistall kwenye simu yako
5.fungua iyo king root apk app iyo itaitambua simu yako automatically na itakupa option ya try now utabofya pale itaanza procedure za kuroot inatumi dk 10 tu kuroot simu
Note:kuroot kunaipotezea simu uhalisia na kuifanya warranty ya simu kuwa expired
Mie sihusiki kwa chochote nimekupa tu procedure
Shedede
msaada wa ku root nougat bila kutumia pcHapo mbona simu ipo rooted tayari.
Weka root checker kama bado basi google how to root tecno c9
Marshallow na nougat bila pc kwasasa haiwezekan labda hapo baadae ila kama kuna wanaojua subiri watakuja hapamsaada wa ku root nougat bila kutumia pc
Ok thnxMarshallow na nougat bila pc kwasasa haiwezekan labda hapo baadae ila kama kuna wanaojua subiri watakuja hapa
Nmekupata vemaMarshallow na nougat bila pc kwasasa haiwezekan labda hapo baadae ila kama kuna wanaojua subiri watakuja hapa
Additiin to that n kweli from V.6 and above mpaka Utumie machine I min ComputerNmekupata vema
Congr brother[emoji119]Pia kuna hii news app ya kitanzania inaitwa 'Zinazosomwa' inapatikana google play kupitia link hii: Zinazosomwa – Applications Android sur Google Play
App hii ina uwezo wa kugundua ni jambo gani au mtu gani maarufu anavuma Tanzania katika siku. Hili linawezekana kwani app hii ina intelligence au uwezo wa kukusanya habari kutoka kwenye blogs na news sites maarufu Tanzania zaidi ya 35. Inazichambua habari hizi na kugundua jambo gani au mtu gani antrend Tanzania.
Pia app hii inapangilia habari katika topic au mada mbalimbali kama siasa, michezo, burudani, uchumi n.k ili kumrahisishia msomaji. Pia inampa mtumiaji uwezo wa kuchagua topic au mada za habari ambazo anataka app hii iwe inamletea na zipi isimletee. Hii inasaidia mtumiaji kusoma habari ambazo anapenda kuzisoma.
Mimi ni developer wa hii app, nitafurahi kusikia maoni yenu kwenye thread hii: App ya kwanza inayoonesha mambo yanayovuma Tanzania
Tnx broCongr brother[emoji119]
tumia Odin mkuu ndo rahisi zaidiSumsung note 2