Wakuu msaada wenu wa haraka tafadhalini. Play store yangu imegoma kufunguka yani ukiifungua inastuck au ikifunguka inaniandikia check your connections and try again,na huku browse nyingine natumia bila shida sambamba na kuperuzi mitandao kama kawaida. Na hili tatizo limeanza baada ya ku-unlock pattern baada ya simu yako mtu flani kuchange pattern yangu. MSAADA WENU TAFADHALINI